Joel 3:17

Baraka Kwa Watu Wa Mungu

17 a“Ndipo mtakapojua kwamba Mimi, Bwana Mungu wenu,
nakaa Sayuni, mlima wangu mtakatifu.
Yerusalemu utakuwa mtakatifu;
kamwe wageni hawatavamia tena.
Copyright information for SwhNEN